WAZIRI WA VIWANDA BIASHARA NA MASOKO Dkt. ABDALLAH KIGODA AZINDUA TAWI JIPYA LA BENKI YA STANBIC
Waziri wa Viwanda ,Biahara na Masoko Dkt. Abdallah Kigoda akizindua
tawi jipya la Benki ya Stanbic Kariakoo ambalo linakuwa la pili katika
eneo hilo la Kariakoo sokoni jijini Dar es Salaam, mpaka sasa Stanbic
inajumla ya matawi kumi na moja kwa nchi nzima .katikati ni Mkuu wa
Kitengo cha Masoko wa benki hiyo Abdallah Singano(kushoto)Mkurugenzi wa
Kitengo cha Biashara wa benki ya Stanbic Douglas Kamwendo
Waziri wa
Viwanda ,Biahara na Masoko Dkt. Abdallah Kigoda akikalibishwa na
Mkurugenzi wa Kitengo cha Biashara Douglas Kamwendo wakati wa hafala
fupi ya uzinduzi wa tawi jipya la Benki ya Stanbic Kariakoo ambalo
linakuwa la pili katika eneo hilo la Kariakoo sokoni jijini Dar es
Salaam, mpaka sasa Stanbic inajumla ya matawi kumi na moja kwa nchi
nzima.Katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa benki hiyo Abdallah
Singano
Waziri wa Viwanda ,Biahara na Masoko Dkt. Abdallah Kigoda akiagana na
Mkurugenzi wa Kitengo cha Biashara wa benki ya Stanic Douglas Kamwendo
baada ya hafla fupi ya uzinduzi wa tawi jipya la benki hiyo Kariakoo
Sokoni.
Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Stanbic Tawali la Kariakoo sokoni
wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika hafala ya uzinduzi wa
tawi la Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Post a Comment