ad

ad

Tume ya Mabadiliko ya Katiba Yakusanya Maoni Kaskazini Unguja




   Bw. Issa Seremani Issa (60), mkazi wa Shehia ya Mangapwani Mdodoni, Wilaya yaKaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilipofanya mkutano wa kukusanya maoni jana (Oktoba 28, 2012).
  Bi. Khadija Abas Haji (49), mkazi wa Shehia ya Bumbwini Misufini, Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja akitoa maoni yake Katiba Mpya wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilipofanya mkutano wa kukusanya maoni jana
   Bw. Ame Khamis Ame (38) mkazi wa Shehia ya Mangapwani Mdodoni, Wilaya yaKaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilipofanya mkutano wa kukusanya maoni jana (Oktoba 28, 2012).
   Bw. Mbaruku Muhamad Mbaruku (65), mkazi wa Shehia ya Bumbwini Misufini, Wilaya yaKaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja Katiba Mpya wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilipofanya mkutano wa kukusanya maoni jana (Oktoba 28, 2012).
Wakazi wa Shehia ya Bumbwini Misufini, Wilaya yaKaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja wakifuatilia mkutano wakutoa maoni kuhusu Katiba Mpya wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilipofanya mkutano wa kukusanya maoni jana (Oktoba 28, 2012).Picha zote na Tume ya Mabadiliko ya Katiba

No comments