RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA BARABARA YA KWA SADALA-MASAMA, WILAYANI HAI,LEO
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete, Waziri wa Miundombinu Mhe John Pombe Magufuli Mkuu wa Mkoa wa
Kilimanjaro Mhe L:eonidas Gama na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Upinzani Bungeni
na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe wakikata utepe mojawapo ya magreda
katika eneo la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama
wilayani hai
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akipokewa na Mkuu wa Wilaya ya Hai Mhe Novatus Makunga katika eneo la
sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani hai
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Upinzani Bungeni na
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe katika eneo la sherehe za uzinduzi wa
ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani hai
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongezza Mbunge wa Hai na Kiongozi wa
Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe kwa hotuba nzuri ya
kumkaribisha na kumsifia kwa kazi anayofanya katika maendeleo ya miundombinu
nchini katika eneo la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa
Sadala-Masama wilayani hai
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiongea na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe L:eonidas Gama na Mbunge wa
Hai na Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe
katika eneo la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama
wilayani hai .
Rais Jakaya Kikwete akihutubia
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akisaidiwa kuzindua jiwe la msingi na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa
Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe katika eneo la
sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani hai
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akipongezwa na kupewa shukurani na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa
Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe katika eneo la
sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani hai
Picha ya Pamoja
Akisalimiana na wananchi
Post a Comment