
Mshambuliaji wa Yanga, Davis Mwape akijaribu kufunga goli wakati kipa wa Polisi Dodoma akijaribu kuzuia waati beki wake akiwa amepoteza matumaini na kunyosha mikono juu wakati wa mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom mzunguko wa pili uliochezwa Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.Yanga imeshinda 2-0.

Wachezaji wa timu ya Yanga wakishangilia bao la kwanza lililofungwa na mshambuliaji , Davis Mwape (kushoto) wakati wa mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom mzunguko wa pili uliochezwa Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam

Wakishangilia
Post a Comment