
Meneja wa Bia ya Safari Lager, Fimbo Butallah akiwakaribisha wageni waalikwa na kufungua mchakato wa kumpata mshindi na kumtangaza katika Hoteli ya City Paradise Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Masoko wa TBL, David Minja (kushoto) akiwa na Mgeni Rasmi Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga (kulia) wakati wa mchakato huo.

Wandishi wa Habari waandamizi wa Kampuni ya New Habari, Kutoka kulia ni Mwandishi wa Gazeti la The African, Mwani Nyangasa, Mhariri wa Gazeti la Michezo la Mtanzania, Rachel Mwiligwa na Mwandinshi wa Gazeti la Bingwa, Zaituni Kibwana wakifuatilia mchakato huo kwa makini

Mpoto Bandi wakitumbuiza wakati wa mchakato huo

Waalikwa

Mwimbaji wa nyimbo za Mashairi, Mrisho Mpoto akitumbuiza kwa wimbo wa Shijaa wa Safari Lager.

Akitumbuiza.

Yuko kazini...

Mpoto Bandi

Mpoto Bandi waklitoa Burudani

Paul Luvinga akihisi baridi kabla ya matokeao

Mecy Shayo akihisi baridi kabla ya matokeo

Leonard Mtepa akisubiri matokeo kwa hamu.

Mkurugenzi wa Masoko wa TBL, David Minja akizungumza na wageni waalikwa na kumkaribisha mgeni rasmi.

Akizungumza

Mambo yalivyokuwa

Mgeni rasmi,Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga akizungumza na halaiki.

Akizungumza

Makongoro akizungumza

Mkurugenzi wa Masoko wa TBL,David Minja (kilia) wakiteta jambo na Meneja wa Bia ya Safari Lager, Fimbo Butallah

Washiriki walioingia fainali ya Shindano hilo

Naibu Waziri akitangaza mshindi

Mshindi tayari kishatangazwa

Wakipongezana

Leonard Mtepa (kulia)akipokea zawadi yake.

Mese Shayo (kulia) akipokea zawadi yake kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko wa TBL, David Minja. Kushoto ni Meneja wa Bia ya Safari Lager , Fimbo Butallah

Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk.Makongoro Mahanga (wapili Kushoto) akimkabidhi hundi ya Shilingi Milioni Saba mshindi wa kwanza wa shindano la Shujaa wa Safari Lager, Paul Luvinga mkazi wa Sinza lililofanyika kwenye Hoteli ya City Paradise Dar es Salaam juzi.Kushoto ni Meneja wa Safari Lager, Fimbo Butallah

Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk.Makongoro Mahanga (wapili Kushoto) akimkabidhi hundi ya Shilingi Milioni Saba mshindi wa kwanza wa shindano la Shujaa wa Safari Lager, Paul Luvinga mkazi wa Sinza lililofanyika kwenye Hoteli ya City Paradise Dar es Salaam juzi.Kushoto ni Meneja wa Safari Lager, Fimbo Butallah

Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk.Makongoro Mahanga ( Kushoto) akimkabidhi tuzo mshindi wa kwanza wa shindano la Shujaa wa Safari Lager, Paul Luvinga mkazi wa Sinza lililofanyika kwenye Hoteli ya City Paradise Dar es Salaam juzi.Kushoto ni Meneja wa Safari Lager, Fimbo Butallah.Katikati ni Mkurugenzi wa Masoko wa TBL, David Minja.

Washiriki walioingia kwenye fainali ya shindano la Shujaa wa Safari Lager wakiwa na zawadi zao mara baada ya kutangazwa kwenye Hoteli ya City Paradise Dar es Salaam

Msindi wa shindano la Shujaa wa Safari Lager, Paul Luvinga akionyesha tuzo na hundi mara baada ya kutangazwa na kukabidhiwa zawadi zake kwenye Hoteli ya City Paradise Dar es Salaam

Msosi kama kawa

Msindi akizungumza

Paul akizungumza

Mpoto Bandi na Burudani

Wakipongezana,hongera sanaaaaaaaaaa.

Wadau wa Safari Lager

Wanamitindo nao walikuwepo,Syrivia Shari (kulia) na Jamillah Nyangasa

Aaa,wadau.
Post a Comment