ad

ad

UZINDUZI WA KILIMANJARO MUSIC AWARDS

UZINDUZI
Pongezi wakati wa uzinduzi wa Kilimanjaro Tanzamia Music Award's 2011 katika hoteli ya Double Tree jijini Dar.
Mkurugenzi wa Masoko wa TBL,David Minja akizungumza katika uzinduzi wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Award's 2011 uliofanyika katika hotel ya Double Tree Hilton,Masaki jijini Dar.
Meneja wa bia ya Kilimanjaro,George Kavishe akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika katika hotel ya Double Tree Hilton,Masaki jijini Dar.
Katibu Mkuu wa BASATA,Gonche Materego akizungumza katika uzinduzi huo.
Muwakilishi wa Wasanii wa Music nchini,Luiza Mbuttu akizungumza kwa niaba ya wasanii wote.
Msanii wa muziki wa Bongo Freva,Marlow akifanya vitu vyake wakati wa uzinduzi huo.
Msanii wa Muziki wa kizazi kipya,Mataluma akikamua wakati wa uzinduzi huo
Wasanii wa Bongo Freva wakiimba wimbo wa pamoja unaohusu Kilimanjaro Tanzania Music Award's.

No comments