
Kiongozi wa Msikiti akisoma tamko la kuwataka Wazee walioanzisha mfarakano katika Msikiti hao waombe msamaha ndani ya siku saba.

Akisisitiza kiongozi huyo

Waumini wakisikiliza kwa makini

Kiongozi wa baraza la vijana akizungumza kusisitiza tamko hilo

Wakipiga kura wangapi wanaunga mkono tamko hilo.

Akisisitiza

Nawaamba damu itamwagika msikitini hapa.....

Akisisitiza...

Wakiunga mkono tamko hilo
Post a Comment