
Wavuvi wakisafisha samaki tayari kwa kuwauzia watu mbalimbali kwenye Soko la Samaki la Feri Dar es Salaam

Wakisafisha

Wako Bize

Mama mjasliamali wa kuuza samaki mtaani akiandaa samaki tayari kwa kukaaanga na kuuza kwenye Soko hilo la Feri Dar

Kazi kusaidiana mwenzangu

Soko la Samaki la Feri watu wakiwa bize na harakati za biashara ya Samaki

Mkazi wa jijini Dar akiwa amebeba barafu Feri Dar

Wakina Mama wakipiga soga huku wakisubili wateja kwenye Soko hilo la Feri

Hali halisi ya Magari yanavyogpangwa nda ni ya Kivuko cha Kigamboni

Soko la Feri ukiwa Kigamboni

Wakazi wa Kigamboni wakipeleka Matunda Mjini kuuza

Watumiaji wa kivuko wanafahamu matumizi ya maboya?
Post a Comment