
Kiungo wa timu ya Simba, Jerry Santo (kushoto) akiruka kuwania mpira na beki wa Atletico Paranaense ya Brazir, Patrick Leonaldo, wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye Uwanja wa taifa Dar es Salaam.Mpaka mwisho wa mchezo timu zote zilitoka sare ya 1-1.
Post a Comment