ad

ad
Meneja wa Bia ya Safari Lager , Fimbo Butallah akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu washindi watatu walivyopatikana katika shindano la Mashuja wa Safari Lager na namna ya kumpata mshindi wa kwanza kupitia ujumbe wa simu
Mchezaji wa Simba chini ya miaka 20, Edward Christopher (kushoto) na mchezaji wa African Lyon, Faki Hamadi wakiwania mpira wakati wa michuano ya Kombe la Uhai linaloendelea katika Uwanja wa kumbukumbu wa Karume Dar es Salaam
Wachezaji wa Simba chini ya miaka 20 wakishangilia bao la tatu dhidi ya timu ya Africa Lyon wakati michuano ya Kombe la Uhai linaloendea katika Uwanja wa Karume Dar es Salaam jana.Simba ilishinda 4-1.

No comments