ad

ad

NI NOMA ARUSHA

ZAIDI ya watu kumi wameripotiwa kufa kutoka na machafuko yalioanza jana mjini Arusha na hali mpaka sasa bado ni mbaya.

Tarifa kutoka mjini humo zinasema shuguli za kibiashara pia zimekwama kutokana na wafanya biashara kuhofia kuharibiwa mali zao.

Hali ya usafiri pia imekuwa mbaya na mpaka asubuhi ya leo kazi ya daladali ilikuwa ikifanwa na boda boda.

Tathmini ya mali zilizo haribika mpaka sasa haijafanyika lakini ukweli ni kwamba uchumi wa mji huwo upo hatarini kwa siku chache zijazo.

No comments