Wasani hawa Uganda wa kikundi cha Goodlife Crew Moze Radio na Weasle TV walilazimika kuzichapa kavu kavu na polisi wakati wa kula bata mjini Kigali-Rwanda kwenye shoo wa kukaribisha mwaka 2011.Mwisho wa kula 'good time' mjini humo ni saa sita usiku.
Post a Comment