Ndugu jamaa na marafiki wakiwa na mwili wa Marehemu, Ramazani Ongala wakielekea makaburini Sinza Dar es SalaamWakiwa wamebeba jeneza lakeWaandishi wa habari hawakuwa nyumaMwili ukushushwaWaandishi naoMtoto wa Marehemu, Ramazani Ongara, Kally Ongara akipanda msalabaMke wa Marehemu akishuhudia shughuri zoteMke wa Marehemu akiweka Shada la mauaMmoja wa watoto akiweka shadaWachungaji wakifanya kazi yaoMtoto wa marehemu akiwa amebeba picha ya Baba yakeIsmail Michuzi akiweka shada la maua kwa niaba ya majirani na marafikiWabunge,Idd Azan na John Mnyika wakijiandaa kuweka mashadaWakiweka mashadaIdd Azan akizungumza nawaombolezajiJohn Mnyika akizungumza na halaiki
Post a Comment