
Mtoto wa Marehemu Ramadhani Ongala , Kally Ongala akiaga mwili wa Baba yake

Kwaheri Baba......

Nilikupenda Baba lakini Mungu kakupenda zaidi..

Mzee Small nae alikuwepo.



Flora Mbasha akiaga mwili

Mwanamuziki wa Zamani, Cosmas Chidumule akiaga


Mmoja wa watoto akiaga

Baba ndio basi tena..

Baba sasa kwaheri..

Baba sitakuona tena.....
Waziri wa Habari, Michezo na Vijana, Emmanuel Nchimbi akiaga mwili wa marehemu

Mchungaji, John Said akiaga mwili

Mbunge wa Ubungo, John Mnyika akiaga mwili

Mbunge wa Kinondoni, Idd Azan akiaga mwili.

Mke wa Marehemu (katikati ya watoto) akiaga mwili wa marehemu Mume wake.

Baadhi ya watoto wa marehemu wakiaga

Adija Kopa akiaga


Post a Comment