
Mkuu wa Idara ya Sheria wa Benki ya NBC, Felix Kibodya akikabizi msaada wa vifaa vya ushonaji kwa Mwanzilishi wa Shirika la Youth Develpment Program,Ally Mohamed (Libaba) vyenye thamani ya milioni 3.

Vyerehani

Hafla ya makabidhiano ikiendelea

Ally Baba akizungumza

Mkuu wa kitengo cha Sheria wa Benki ya NBC, Felix Kibodya akizungumza

Aly Libaba akizungumza


Nyzi

Mikasi na Majora


Baadhi ya vijana wanaoshi katika mazingira magfumu na Yatima ndio waliolengwa kwenye msaada huo.

Baadhi ya Watoto Yatima na Wanaoishi katika hali ngumu



Ally akimkabidhi Mkuu wa kitengo cha sheria ripoti

Neema Lyimo kutoka NBC akizungumza

MAKABIDHIANO

Picha ya Pamoja baada ya makabidhiano

Picha ya Pamoja

Wakikabidhiana risiti za manunuzi ya vifaa hivyo
Post a Comment