
Baadhi ya maofisa/wakufunzi kutoka sido wakihakiki jinsi ya kuweka sabuni ndani ya vidumu tayari kwa kuuzwa iliyotendenezwa na wahitimu wa mafunzo ya kutengeneza bidhaa hiyo kwa udhamini wa Benki ya NBC

Mlemavu wa macho, Sheila Shabai akishona kifaa cha kupngusia vumbi mlangoni

Sheila Shabani akishona

Wahitimu wakijaza sabuni kwenye vidumu

Wakiweka vifuniko

Wakijaza

Wakijaza

Wakifunika vifuniko

Wakufunzi wakihakiki lebel

Wakihakiki lebel

Wahitimu

Mkurugenzi wa mafunzo akizungumza wakati wa hafla hiyo

Idd Muna akitafsiri kwa wahitimu hao

Mmoja wa wahitimu, Colletha Dindili akielezea ubora wa sabuni hiyo

Akielezea kqwa wageni kutoka Benki ya NBC.

Akimkabidhi zawadi

Akitoa zawadi

Mwenyekiti wa kikundi Olesta Mpelemu akishukuru

Akishukuru

Mgeni rasmiBenki ya NBC tawi la Sea Cliff, Subira Kapita akigawa vyeti
Post a Comment