ad

ad

BENKI YA EXIM YATOA MAFUNZO KWA WANAWAKE WAJASILIAMALI JIJINI DAR.

Meneja wa Kitengo cha Wanawake wa Benki ya Exim, Feliser Simba akiendesha mafunzo kwa baadhi ya Wanawake Wajasiliamali wanaoshiriki Tamasha la Wanawake Wajasiliamali Viwanja vya mnazi mmona Dar es Salaam
Akitoa mafunzo
Akitoa mafunzo na umuhimu wa kujiunga na Benki hiyo
Akiwagawia kadi za mawasiliano
Watu mbalimbali wakitembelea Banda la Exim
Akiwaelimisha juu ya huduma za Exim
Wakiwahudumia wateja

ATM
Mfanyakazi wa Exim akitoa huduma kwa Dada.

No comments