ad

ad

MSONGAMANO WA MAGARI DAR WAPELEKEA MADEREVA KUVUNJA SHERIA.

Madreva Taxi wakivunja sheria kwasababu ya msongamano wa magari/foleni hivyo kuwapelekea kuvunja sheria kwa kugeuza gari kinyume na sheria za barabarani karibu na makutano ya mataa ya Hakiba Dar es Salaam
Wakigeuza magari kinyume na sheria za barabarani

No comments