
Pilika pilika za maandalizi ya Siku Kuu ya Chrismas na Mwaka Mpya zaanza kama inavyoonekana wakazi wa Dar es Salaam wakiwa Kariakoo

Hii ndio hali halisi ya Kituo cha Mabasi ya Kariakoo kuelekea Mbagala

Ajali kati ya Taxi na Taroli makutano ya taa za faya Dar es Salaam

Msanii Mlemavu wa macho aliyetambulika kwa jina la Hosea akitoa burudani kwa wapitanjia na wafanya biashara wa Kariakoo Dar es Salaam

Hosea huyo
Post a Comment