MERRY MWANJELWA ATUNUKIWA TUZO
Mbunge wa Viti maalum Mkoa Mbeya, Mary Mwanjelwa akionyesha Tuzo ya heshima ya Shahada ya udhamivu ya masuala ya jamii katika kuthamini watu iliyotolewa na Chuo cha United Graduate and Seminary cha nchini Marekani wakati wa hafla iliyofanyika Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkuu wa Chuo hicho, Dk Clyoe Rivers, wapili kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Mameya wastaafu Duniani, Dk Nathan Kahara na wa kwanza kushoto mchungaji, Dk Getrude Rwakatale.
Post a Comment