
Vumbu likitimka kuashilia hali halisi ya Ukame Wilayani Chamwino Dodoma

Mimea ikiwa imekauka kwa sababu ya ukame na jua kali

Mkazi wa Dodoma Chamwino akizungumza na waandishi wa habari jinsi alivyopanda mbegu lakini hazijaota kwa sababu ya ukamae

Mama mkazi wa Dodoma Chamwino akichota maji kwa matumizi ya nyumbani

Wakazi wa Dodoma Chamwino wakichota maji huku mwandishi wa habari wa Gazeti la The African akishuhudia.

Mama mkazi wa Dodoma Chamwino akichota maji na wanae

Wakazi wa Dodoma Chamwino wakigombea maji

Ng'ombe wakipata shida kutokana na ukame uliopo Dodoma

Wakazi wa Dodoma wakimenya karanga

Mwandishi wa habari wa Gazeti la The African akitoka ndani ya nyumba ya mmoja wa wakazi wa Chamwino Dodoma.
Post a Comment