
Mtangazaji wa Radio ya Clous FM, Alex Rwambano (kushoto) akikabidhiwa zawadi na Ofisa habari wa kampuni ya TBL mara baada ya kuibuka mshindi wa kwanza wakati wa shindano la kutambuzi wa vinywaji vya Bia kwa kutumia rangi,harufu na kuonja kujua ni Bia gani lililofanyika kwenye Kampuni TBL Dar es Salaam kwa kushilikisha baadhi ya waandishi wa habari

Mpishi Mkuu wa Bia wa Kampuni ya Bia wa TBL, Gaudence Mkolwe akitoa semina fupi kabla ya kuanza shindano hilo

Mtaalamu wa maabara wa Kampuni ya Bia ya TBL, Thabitha Manyama (kulia) akigawa vinywaji tayari kwa kuanza shindano

Baadhi ya waandishi wa habari wakionja kutambua ni kinywaji gani

Wakiendelea na shindano la utambuzi

Mtangazaji wa Radio ya Magic FM, Saidi Kirumanga akiendelea na zoezi la utambuzi kwa makini mara baada ya kingia fainali

Mpiga picha wa Mwananchi,Silvan Kiwaleakiendelea na zoezi la utambuzi kwa makini mara baada ya kingia fainal

Alex Rwambano akisikilizia kutambua ni kinywaji gani.

Wakitangaza matokeo

Alex Rwammbano akitangazwa mshindi wa kwanza

Akikabidhiwa zawadi ya ushindi

Akipongezwa

Mshindi wa pili, Said Kirumanga akikabidhiwa zawadi

Akipongezwa

Mshindi wa tatu,Silvan Kiwale akikabidhiwa zawadi

Akipongezwa

Picha ya pamoja ya washindi pamoja na majaji

Picha ya pamoja ya washindi pamoja na majaji
Post a Comment