
Kiongozi wa kiroho wa dhehebu la kihindu, Ramanuj Chinna Jeeyar Swami akiwaongoza waumini wa dhehebu hilo baada ya kuzindua hekalu jipya la Lord Balaji jjijini Dar es Salaam jana

Wakina Mama wa Kihindu wakimshuhudia kiongozi wao akiwasili

Kiongozi wa Wahindu Ramanuj Chinna Jeeyar Swami akiwasili

Akiwasili

Akiwasili

Akiwasili

Akiwaongoza waumini wa dhehebu hilo

Akiwangza

Kiongozi wa kiroho wa dhehebu la kihindu, Ramanuj Chinna Jeeyar Swami akiwaongoza waumini wa dhehebu hilo baada ya kuzindua hekalu jipya la Lord Balaji jjijini Dar es Salaam

Mkurugenzi wa Jahazi Morden Taarabu,Mzee Yusuf akiimba sambamba na wapenzi wa muziki huo wakati wa onyesho maalumu la kukaribisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa vyuo vya jijini Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Meeda mwishoni mwa wiki.

Mwimbaji wa Bendi ya Jahazi Morden Taarabu,Isha Mashauzi akiimba sambamba na wapenzi wa muziki huo wakati wa onyesho maalumu la kukaribisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa vyuo vya jijini Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Meeda mwishoni mwa wiki.

Mwenyekiti wa Bidi ya Benki ya Stanbic Tanzania Hatibu Senkoro (kulia) akikabidhi zawadi mmoja wa washindi wa mashindano ya Gofu yaliyotambulika kwa Stanbic Private Banking Golf Tournament katika viwanja vya Gymkhana, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Wakazi wa jijini Dar es Salaam eneo la Manzese wakipita eneo lililoondolewa uzio na watu wasiojulikana wa kupunguza ajali ili wavukaji wapiti darajani.

Askari wa Usalama Barabarani akimsimamia mmoja wa wafanyakazi wa Lori la kubeba Maji mara baada yakuharibika njiani eneo la Kisutu Dar es Salaam
Post a Comment