ad

ad

DAR MORDENI TAARABU YAPAGAWISHA SIKU KUU YA EID

Mwimbaji wa nyimbo za Taarabu wa Bendi ya Dar Modern, Hammer Q, akiwaburudisha wapenzi na mashabiki wa muziki huo kwa wimbo wa Pembe la Ng’ombe, wakati wa onyesho la Sikukuu ya Eid el Haj, kwenye ukumbi wa Kabakabana, Mwananyamala Dar es Salaam

Aisha Othman akiimba wakati wa sherehe hizo Tatuma Mussa akiimba

No comments