Kampuni inayozalisha kinywaji cha Pepsi wakiwashindanisha vijana kunya kinywaji hicho chupa mbili kwa mfululizo bila kupumzika ambapo kijana wa katikati anayejulikana kwa jina la Kongowe alishinda na kujinyakulia Saa ya ukutani yenye nembo ya PEPSI.
Post a Comment