ad

ad

KOCHA WA TIMU YA TAIFA YA POOL AENDELEA KUWANOA WACHEZAJI WAKE.

Kocha wa timu ya Taifa ya mchezo wa Pool, Denis Lungu akiwafundisha timu ya Taifa ya Mchezo huo wakijiandaa na mashindano ya Dunia ya mchezo huo kwenye Klabu ya Mpo Afrika iliyopo Tandika Dar es Salaam
Akitoa maelekezo
Akiwaelekeza..
Akifundisha kwa vitendo....

No comments