ad

ad

MAKONGO YAFANYA MAHAFARI YA KIDATO CHA NNE.

Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Makongo, Meja Selestine Mwangasi akizungumza wakati wa mahafari hiyo iliyofanyika shuleni hapo Makongo Dar es Salaam

Brigadia General Mabula Mashauri akizungumza na wahitimu wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari ya Makongo alipoalikwa kuwa mgeni rasmi kwenye mahafali iliyofanyika shuleni hapo Makongo Dar es Salaam jana.Kulia ni Mkuu wa Shule hiyo Meja Selestin Mwangasi na Mwenyekiti wa Bodi wa Shule hiyo, Meja Generali Servatus Hinda.
Scout wakiwa kwenye gwaride
Saluti ya Scout.
Mwanafunzi aliyehitimu kidato cha nne katika Shule ya Sekondari y Makongo, Elizabeth Lazaro akiimba wimbo wa msanii wa THT,Lina kwenye hafla ya Graduation iliyofanyika shuleni hapo Dar es Salaam
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Makongo wakionyesha namna mbalimbali ya uvaaji wa mavazi wakati wa hafla ya Graduation iliyofanyika shuleni hapo Dar es Salaam
Elizabeth Lazaro akiwa kwenye maonyesho ya mavazi

Wanafunzi wakitoa burudani

Burudani

No comments