ad

ad

CENTURY INSURANCE YAKUTANISHA WATOTO KWENYE BONANZA LA TENNIS.

Mathew Kailetu kutoka shule ya IST, akicheza dhidi ya mpinzani wake Alphan Peter kutoka Shule ya Msingi Kijitonyama Kisiwani wakati wa Bonanza la mchezo wa Tenes yaliyojulikana kama “Tennis for Life’ yaliyoandaliwa na Century Insurence kwenye viwanja vya Chuo cha Posta Dar es Salaam
Watoto kutoka shule mbalimbali wakifuatilia mchezo wa Tennis wakati wa bonanza hilo,nyuma yao ni baadhi ya Wafanyakazi wa Century Insurance wakifuatilia mchezo.
Watoto kutok shule mbalimbali wakiwa viwanja vya Chuo cha Posta kwenye Bonanza la Tennis lililoandaliwa na Century Insurance.

Watoto wakisubiri utaratibu wa kucheza
Mtoto akicheza
Akicheza
Lailat Panjee kutoka shule ya DIS akijiandaa kucheza dhidi ya mpinzani wake Ashwin Fernando wakati wa Bonanza la Teninis fo Life kwa watoto yaliyoandaliwa na Century Insurance.
Mwamuzi akiwapa utaratibu
Mtoto akicheza
Baadhi ya Wafanyakazi wa Century Insurance wakiwa kwenye picha ya paoja.
Wakiwa kwenye pozi .
Watoto na nyuma ni badhi ya wafanyakazi wa Century Insurance wakifuatilia mchezo
Wakifuatilia
Wakicheza
Mtoto akicheza
Mtoto akicheza.
Mwamuzi akitoa maelekezo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Century Insurance wakizungumza na Mkufunzi Mkongwe wa mchezo wa Tennis, Rabii Hassan wakati wa bonanza hilo viwanja vya Chuo cha Posta Dar es Salaam.

Watoto wakifuatilia mchezo.
Mkufunzi wa mchezo wa Tennis (kushoto) akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa Century Insurance.

No comments