
Msanii wa nyimbo za kizazi kipya ,Afande Sele akiwa kwenye pozi ziku ya Tamasha la Granda Malt lililoandaliwa na kinywaji cha Grand Malt kwenye viwanja vya Coco Beach Dar es Salaam.

Afande Sele na Mpiga picha wa Gazeti la Majira Rajabu Mwamira wakiwa kwenye pozi Coco Beach

TMK wakifanya vitu vyao kwenye Tamasha hilo

TMK

Wacha we....

Duh
Post a Comment