
Maji yakiwa yametuama chini baada y mvua kidogo tu kunyesha ndani ya Ubungo Terminal,nyuma ni magari ya Hood yameegesha.

Hii ndio hali halisi ya Ubungo na mbele na Hoteli kubwa ndani ya Standi hiyo

Hiyo ni Posta ndani ya Terminal imezungukwa na vibanda

Ubungo Terminal
Post a Comment