NBC YATOA MSAADA WA MILIONI 30 KWA SHULE YA MSINGI TEMEKE NA MAFIA.
MKurugenzi Mtendaji wa Benk ya NBC,Lawrence Mafuru akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutoa msaada kwa shule ya msingi ya Temeke Dar es Salam jana wenye thamani ya Milioni 22.Kushoto ni Mkurugenzi wa TEA,Rosemary Lulabuka na Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo,Said Mbolembole
MKurugenzi Mtendaji wa Benk ya NBC,Lawrence Mafuru(kulia) na Mkurugenzi wa TEA,Rosemary Lulabuka wakimkabidhi mwakilishi wa wanafunzi walemavu ,Faudhia Athumani sehemu ya msaada wenye thamani ya milioni 22 ikiwa ni vifaa vya kufundishia pamoja na vifaa vya michezo
MKurugenzi Mtendaji wa Benk ya NBC,Lawrence Mafulu (kulia) akimkabidhi sehemu ya msaada wa vifaa vya shule Mkurugenzi wa TEA,Rosemary Lulabuka vyenye thamani ya Shilingi Milioni 22 kwa ajili ya kufundishia Watoto weny ulemavu wa Shule ya Msingi Temeke.Hafla ya makabidhiano ilifanyika Shuleni hapo Temeke Dar es Salaam.Kushoto ni Ofisa Elimu wa Elimu maalum kwa Wilaya ya Temeke,George Vahaye.
MKurugenzi Mtendaji wa Benk ya NBC,Lawrence Mafulu (kulia) akimkabidhi sehemu ya msaada wa vifaa vya shule Mkurugenzi wa TEA,Rosemary Lulabuka vyenye thamani ya Shilingi Milioni 22 kwa ajili ya kufundishia Watoto weny ulemavu wa Shule ya Msingi Temeke.Hafla ya makabidhiano ilifanyika Shuleni hapo Temeke Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa TEA,Rosemary Lulabuka akizungumza na waandishi wa habari.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Temeke,Said Mbolembole (kulia) akisoma risala wakati Ofisa Elimu wa Elimu maalum,George Vahaye akitafisiri.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi wakiimba kwa kushukuru msaada Mbele ya Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC,Lawrence Mafulu alipokwenda kutoa msaada wa vifaa mbalimbali vya kufundishia na vya michezo vyote vyenye thamani ya shilingi milion 22.
Post a Comment