
Kocha wa timu ya Taifa ya mchezo wa Pool Safari Lager,Denis Rungu (kuli) akiwafundisha wachezaji wa timu ya Taifa wa mchezo huo namna ya kupiga mpira mweupe wakati gani na kwa namna gani kwenye Klabu ya Break point Dar es Salaam

Kocha akielekeza

Kocha akiwaelekeza

Kocha Denis yuko kazini

Kocha akirejea maandiko
Kocha Denis akiwaelekeza wachezaji



Katibu wa TAPA,Amos akisisitiza jambo

Katibu Amos akisisitiza

Kocha akielekeza
Wachezaji wakiangalia kwa makini

Kocha akisistiza jambo
Kocha akiwafundisha wachezaji wa timu ya Pool mbinu mbalimbali

Kocha Denis akisisitiza jambo

Tumia hakili unapokuwa mchezoni........

Kocha akielekeza kwa vitendo

Kocha akiwaelekeza jambo wachezaji

Kocha akiwaelekeza wachezaji wa timu ya taifa namna ya kupiga mpira mweupe.

Kocha akitoa maelekezo

Godfrey Mhando akifanya mazoezi kwa vitendo.

Kocha akifundisha kwa vitendo

Kocha Denis akiwaonyesha nini kitabu kinasema

Kocha akielekeza kwa vitendo

Godfrey Swai akifanya mazoezi kwa vitendo

Kocha anawaonyesha inavyopaswa.

Felix Athanas akifanya mazoezi kwa vitendo.
Post a Comment