RC Aggrey Mwanri Azindua Jukwaa la NAWEZA Tabora
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey
Mwanri (kulia) akikata utepe kuashilia uzinduzi wa jukwaa la “NAWEZA”
litakalolenga kutoa elima ya Afya kwa wananchi hususani watu
wazima.Uzinduzi
huo umefanyika leo mjini Tabora.Kulia ni Mganga Mkuu wa Mkoa, Honoratha Rutatinisibwa.
huo umefanyika leo mjini Tabora.Kulia ni Mganga Mkuu wa Mkoa, Honoratha Rutatinisibwa.
Aggrey Mwanri akiongea jambo baada ya kuzindua jukwaa la NAWEZA.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey
Mwanri (kushoto) akipiga makofi baada ya kuzindua jukwaa la “NAWEZA”
litakalolenga kutoa elima ya Afya kwa wananchi hususani watu
wazima.Uzinduzi huo umefanyika leo mjini Tabora.Kulia ni Katibu Tawala
wa Mkoa, Roberth Makungu na Mkuu wa Wilaya Igunga, John Mwaipopo.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri leo amezindua jukwaa la
“NAWEZA” litakalolenga kutoa elima ya Afya kwa wananchi hususani watu
wazima.Uzinduzi huo umefanyika leo mjini Tabora.Uzinduzi huo uliudhuliwa pia na Katibu Tawala wa Mkoa, Roberth Makungu na Mkuu wa Wilaya Igunga, John Mwaipopo na Mganga Mkuu wa Mkoa huo, Honoratha Rutatinisibwa.
Post a Comment