RIDHIWANI KIKWETE AAPA KUPAMBANA NA MATAPELI WA ARDHI JIMBO LA CHALINZE
Mbunge
wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete,akihutubia katika mkutano wa
hadhara katika Kijiji cha Fukayosi, Kata ya Fukayosi, wakati wa ziara ya
kikazi pamoja na kuwashukuru wananchi kwa kumchagua kuwa mbunge miezi
sita iliyopita.Ridhiwani kutoruhusu hata kipande cha heka moja kuporwa
na matapeli katika jimbo lake la Chalinze.PICHA ZOTE NA RICHARD
MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Kijana Salumu Khamis akiuliza swali mbele ya Mbunge Ridhiwani Kikwete kuhusu tatizo la maji katika Kijiji cha Fukayosi
Mkuu
wa Miradi wa Mkoa wa Pwani wa Tanesco, Leo Mwakatobe, akielezea jinsi
umeme utakavyosambazwa katika Kijiji cha Fukayosi na vijiji vingine
Jimbo la Chalinze.
Mwenyekiti
mpya wa Serikali ya Kijiji cha Fukayosi, Salum Mkwecha akimshukuru
mbunge kwa ahadi mbalimbali alizozitoa katika miradi mbalimbali katika
kijiji hicho.
Ridhiwani
akibadilishana mawazo na mmoja wa watawa baada ya kumalizika kwa
mkutano katika Kijiji cha Fukayosi Jimbo la Chalinze.
Mwenyekiti
mstaafu wa Kata ya Fukayosi,Adam Masoud akimuomba Mbunge Ridhiwani
kuhikisha anaweka miundombinu ya barabara na maji na masuala ya afya
katika Kijiji cha Mkenge,wakati wa ziara yake katika Kata ya Fukayosi ya
kuwashukuru kwa kumchagua pamoja na kusikiliza kero za wananchi na
kuangalia jinsi ya kuzitafutia ufumbuzi.
Mkazi
wa Kijiji cha Mkenge, Khamis Mwanga akielezea kero ya barabara ya Mwavi
hadi Mkenge ambayo alidai inarudisha nyuma maendeleo ya kijiji hicho
hivyo kumtaka Ridhiwani awasaidia kuijenge barabara hiyo ili iweze
kupitika bila matatizo katika vipindi vyote. Ridhiwani aliwajibu kuwa
tayari barabara hiyo imepata mkandarasi anayetarajia kuanza kazi katika
siku chache zijazo.
Katibu
wa CCM Tawi la Mkenge, Omar Seleman akimuomba Mbge Ridhiwani asaidie
kumalizia ujenzi wa msikiti wa Mkenge, Ombi ambalo alilikubali na
kuahidi kupaua kwa gharama zake.
Ridhiwani akijibu maswali mbalimbali ya wananchi wakati wa mkutano katika Kijiji cha Mkenge
Ridhiwani
akikagua maendeleo ya ujenzi wa msikiti wa Mkenge ambao ameahidi
kuchangia mabati na mbao za kupaua jengo hilo la ibada.
Mwenyekiti
wa CCM Kata ya Fukayosi, Olnjurie Marigwa akihtubia katika mkutano
uliofanyika katika kijiji cha Mwavi, Kata ya Fukayosi
Masoud
Fundikira akimuomba Mbunge wao Ridhiwan, anzishe mashindano ya mpira wa
miguu kuwania kikombe cha Ridhiwani Cup ili kuendeleza michezo katika
jimbo hilo. Ridhiwani alilikubali ombi hilo kwa kuanzia kutoa misaada ya
mipira na jezi katika kila timu ya kata za jimbo hilo.
Ridhiwani
akihutubia katika Kijiji cha Mwavi ambapo aliahidi kufuatilia kwa
karibu kuhusu suala la alilogawiwa Mkorea ili kijiji cha mwwavi kipate
haki.
Katibu
wa CCM Wilaya ya Bagamoyo Kombo Kamote, akiwafunda viongozi wa Serikali
ya Kijiji cha Mwavi waliochaguliwa hivi karibuni ili wawatendee haki
wananchi.
Ridhiwani
akihutubia katika mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Kidomole,
ambapo aliwajia juu anaowaita matapeli wanaouza ardhi katika Jimbo la
Chalinze bila kufuata sheria na utaratibu. Alisema kuwa hayuko tayari
kuona hata heka moja ya jimbo hilo ikikuzwa bila utaratibu.
Ridhiwani akiagana na Meya wa Morogoro, Amir Nondo ambaye ni mzaliwa wa Kata ya Kiwangwa katika jimbo hilo la Chalinze.
Diwani wa Viti
Maalumu Tarafa ya Msata, Rehema Mno akielezea kwa wananchi jinsi
alivyoshiriki kutatua kero za wananchi katika Kata ya Kiwangwa.,
Ridhiwani akiteta jambo na Diwani wa Kata ya Kiwangwa, Yahaya Ramadhani
wakati wa mkutano huo
Sehemu ya umati uliohudhuria katika mkutano huo
Ridhiwani akihutubia katika mkutano huo ambapo aliwaambia viongozi wa
Tanesco kuhakikisha wana peleka haraka umeme wa Wakala wa Umeme Vijijini
(REA) katika Kijiji cha Kiwangwa
Meneja wa Tanesco Wilaya ya Chalinze, Julius Doyi akiwaambia wananchi
wa Kiwangwa kuwa umeme utaingia hapo mwezi huu.
Meneja wa Mamlaka ya Usafi wa Maji Safi na Taka wa Chalinze,Injinia
Christer Mchomba akielezea kwa wananchi mikakati mbalimbali ya
kuharakisha upatikanaji wa maji katika Kata ya Kiwangwa.
Ridhiwani akaimkabidhi Bondia Idd Pialali gloves 20 kwa ajili ya
kuendeleza mchezo wa ngumi katika Kata ya Kiwangwa
Ridhiwani akimkabidhi mpira mmoja wa wa manahodha wa timu mbalimbali
katika Kata ya Kiwangwa kwa ajili ya kuendeleza soka katika kata hiyo.
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
RIDHOIWANI KIKWETE
AAHIDI KUTATUA TATIZO LA UMEME,MAJI KIWANGWA, CHALINZE
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete (kulia), akipata maelezo
kutoka kwa Msimamizi wa ujenzi kutoka Kambi ya Mzinga ya JWTZ, Aloyce
Mayunga (kushoto) alipokwenda kukagua ujenzi wa maabara ya Shule ya
Sekondari ya Kiwangwa wakati wa ziara ya kikazi ya katika Kata ya
Kiwangwa, wilayani Chalinze, Pwani leo.Aliwataka wajenzi hao kujenga
maabara hayo kwa kuzingatia viwango. Katikati ni Mjumbe wa Halmashauri
Kuu ya CCM Wilaya ya Bagamoyo, Saleh Mpimbwi.
Ridhiwani Kikwete akizungumza na wakandarasi kutoka Kambi ya Mzinga ya
JWTZ wanaojenga maabara ya Shule ya Sekondari ya Kiwangwa wakati wa
ziara ya kuagua miradi ya maendeleo na kuwashukuru wananchi kwa
kumchagua kuwa mbunge miezi sita iliyopita. PICHA ZOTE NA RICHARD
MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Ridhiwani akinyoosha juu kadi ya Chadema aliyokabidhiwa na aliyekuwa
Mwenyekiti wa Chadema Kijiji cha Masugulu ambaye amehamia CCM katika
mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Mwitemo Kata ya Kiwangwa leo
Ridhiwani akihutubia wananchi katika Kijiji cha Mwitemo
Sehemu ya akina mama wakisikiliza kwa makini wakati Ridhiwani Kikwete
akihutubia katika Kitongoji cha Magogoni, Kijiji cha Msinune, Kata ya
Kiwangwa.
Ridhiwani Kikwete akihutubia wananchi katika Kijiji cha Msinune, Kata
ya Kiwangwa.
Msanii kiongozi wa Kikundi cha sanaa cha Chanzala akifanya maajabu yake
wakati mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Ridhiwani Kikwete katika Kata
ya Kiwangwa
Mwenyekiti mpya wa Serikali ya Kijiji cha Kiwangwa, Kata ya Kiwangwa,
akifungua rasmi mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Mbunge wa Jimbo la
Chalinze, Ridhiwani Kikwete katika Kata ya Kiwangwa ambapo pamoja na
kusikiliza kero zao aliwashukuru wananchi kwa kumchagua mwaka jana.
Mkazi wa Kiwangwa Shabani Dume akiuliza swali kwa kumtaka Mbunge
Ridhiwani asaidie kuwepo dampo katika Kijiji cha Kiwangwa
Kassim Makelele wa Kata ya Kiwangwa akimuomba Mbunge Ridhiwani kununua
Ambulance kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Kiwangwa
Diwani wa Viti Maalumu Tarafa ya Msata, Rehema Mno akielezea kwa
wananchi jinsi alivyoshiriki kutatua kero za wananchi katika Kata ya
Kiwangwa.,
Ridhiwani akiteta jambo na Diwani wa Kata ya Kiwangwa, Yahaya Ramadhani
wakati wa mkutano huo
Sehemu ya umati uliohudhuria katika mkutano huo
Ridhiwani akihutubia katika mkutano huo ambapo aliwaambia viongozi wa
Tanesco kuhakikisha wana peleka haraka umeme wa Wakala wa Umeme Vijijini
(REA) katika Kijiji cha Kiwangwa
Meneja wa Tanesco Wilaya ya Chalinze, Julius Doyi akiwaambia wananchi
wa Kiwangwa kuwa umeme utaingia hapo mwezi huu.
Meneja wa Mamlaka ya Usafi wa Maji Safi na Taka wa Chalinze,Injinia
Christer Mchomba akielezea kwa wananchi mikakati mbalimbali ya
kuharakisha upatikanaji wa maji katika Kata ya Kiwangwa.
Ridhiwani akaimkabidhi Bondia Idd Pialali gloves 20 kwa ajili ya
kuendeleza mchezo wa ngumi katika Kata ya Kiwangwa
Ridhiwani akimkabidhi mpira mmoja wa wa manahodha wa timu mbalimbali
katika Kata ya Kiwangwa kwa ajili ya kuendeleza soka katika kata hiyo.
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
Post a Comment