RAIS KIKWETE AWASILI VIETNAM KWA ZIARA RASMI YA SIKU MBILI.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Mhe Truong
Tan Sang wakikagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake
wakati wa mapokezi yake rasmi katika Ikulu ya Hanoi katika siku ya
kwanza ya ziara yake rasmi ya siku mbili nchini humo leo Jumatatu
na mwenyeji wake Rais Mhe Truong Tan Sang wa Vietnam wakati wa
mapokezi yake rasmi katika Ikulu ya Hanoi katika siku ya kwanza ya
ziara yake rasmi ya siku mbili nchini humo Jumatatu Oktoba 27, 2014.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Mhe
Truong Tan Sang wa Vietnam wakati wa mapokezi yake rasmi katika Ikulu
ya Hanoi katika siku ya kwanza ya ziara yake rasmi ya siku mbili
Mkuu wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam Ndugu Nguyen Phu Trong,
katika Makao Makuu ya Kamati Kuu ya Chama hicho tawala cha nchi hiyo
Tan Sang wakikagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake
wakati wa mapokezi yake rasmi katika Ikulu ya Hanoi katika siku ya
kwanza ya ziara yake rasmi ya siku mbili nchini humo leo Jumatatu
Oktoba 27, 2014
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokea shada la maua akishuhudiwana mwenyeji wake Rais Mhe Truong Tan Sang wa Vietnam wakati wa
mapokezi yake rasmi katika Ikulu ya Hanoi katika siku ya kwanza ya
ziara yake rasmi ya siku mbili nchini humo Jumatatu Oktoba 27, 2014.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Mhe
Truong Tan Sang wa Vietnam wakati wa mapokezi yake rasmi katika Ikulu
ya Hanoi katika siku ya kwanza ya ziara yake rasmi ya siku mbili
nchini humo Jumatatu Oktoba 27, 2014.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na KatibuMkuu wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam Ndugu Nguyen Phu Trong,
katika Makao Makuu ya Kamati Kuu ya Chama hicho tawala cha nchi hiyo
Jumatatu Oktoba 27, 2014.
![]() |
| Rais Dkt
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na vijana baada ya
kutembelea kampuni ya mawasiliano ya VIETTEL Jumatatu Oktoba 27, 2014
|

Post a Comment