AFRIKA KUSINI MABINGWA SAFARI POOL AFRIKA 2014.
Mabingwa wa
Safari Pool Afrika 2014 kutoka Afrika Kusini, timu ya Taifa ya Pool ya Nchi
hiyo wakishangilia na kitita cha Dolla 5000$ sawa na pesa taslimu za Kitanzania
Shilingi 8,500,000/= pamoja na medali za dhahabu baada ya kutwaa ubingwa huo
uliojulikana kwa “Safari All Africa Pool Championship 2014” uliomalizika
mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa Budget Kunduchi Beach jijini Dar es Salaaam.
Rais wa
Chama cha Pool Africa(AAPA), Saths Reddy(kulia) akimkabidhi Meneja wa timu ya
Taifa ya Afrika Kusini ya mchezo wa Pool, kitita cha Dolla 5000$ sawa na pesa
taslimu za kitanzania 8,500,000/= mara baada ya kuibuka mabingwa katika
mashindano ya mchezo huo yaliojulikana kama “Safari All Africa Pool
Championship 2014” yaliyomalizika mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa Budget
Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam.
Wachezaji wa
Taifa wa mchezo wa Safari Pool Tanzania, wakishangila wakiwa na kitita cha
Dolla 2000$ sawa na pesa taslimu za kitanzani Shilingi 3,400,000/= pamoja na
medali za Silva mara baada ya kuibuka washindi wa pili katika mashindano ya
mchezo huo yaliojulikana kama “Safari All Africa Pool Championship 2014”
yaliyomalizika mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa Budget Kunduchi Beach jijini
Dar es Salaam.
Bingwa wa
Afrika wa mchezo wa Pool upande wa
mchezaji mmoja mmoja(Singles), Ishmael Mthethwa kutoka Afrika Kusini akionyesha
kitita cha Dolla 2,000$ sawa na pesa taslimu za kitanzani Shilingi 3,400,000/= pamoja na medali ya Dhahabu mara baada ya
kuibuka bingwa katika mashindano ya mchezo huo yaliojulikana kama “Safari All
Africa Pool Championship 2014” yaliyomalizika mwishoni mwa wiki katika Ukumbi
wa Budget Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja wa Bia ya
Safari Lager, Oscar Shelukindo.
Bingwa wa
Afrika wa mchezo wa Pool upande wa
mchezaji mmoja mmoja(Singles) Wanaume, Ishmael Mthethwa kutoka Afrika Kusini
akionyesha kitita cha Dolla 2,000$ sawa na pesa taslimu za kitanzani Shilingi
3,400,000/= pamoja na medali ya Dhahabu
mara baada ya kuibuka bingwa katika mashindano ya mchezo huo yaliojulikana kama
“Safari All Africa Pool Championship 2014” yaliyomalizika mwishoni mwa wiki
katika Ukumbi wa Budget Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam.
Bingwa wa
Afrika wa mchezo wa Pool upande wa
mchezaji mmoja mmoja(Singles) Wanawake, Suzette Booyens(kulia) kutoka Afrika
Kusini akionyesha kitita cha Dolla 1,000$ sawa na pesa taslimu za kitanzani
Shilingi 1,700,000/= pamoja na medali ya
Dhahabu mara baada ya kuibuka bingwa katika mashindano ya mchezo huo
yaliojulikana kama “Safari All Africa Pool Championship 2014” yaliyomalizika mwishoni
mwa wiki katika Ukumbi wa Budget Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam. Kushoto
ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo.
Bingwa wa
Afrika wa mchezo wa Pool upande wa
mchezaji mmoja mmoja(Singles) Wanawake, Suzette Booyens(kulia) kutoka Afrika
Kusini akionyesha kitita cha Dolla 1,000$ sawa na pesa taslimu za kitanzani
Shilingi 1,700,000/= pamoja na medali ya
Dhahabu mara baada ya kuibuka bingwa katika mashindano ya mchezo huo
yaliojulikana kama “Safari All Africa Pool Championship 2014” yaliyomalizika mwishoni
mwa wiki katika Ukumbi wa Budget Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam. Kushoto
ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo.
Afrika Kusioni
Uganda |
Post a Comment