• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • What We Do

Jamiitz24

ad

ad
  • Home
    • HABARI MPYA
    • ELIMU
    • NAFASI ZA KAZI
    • SIASA
    • BURUDANI
    Home / Unlabelled / KAMPUNI YA PUMA ENERGY YACHANGIA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI

    KAMPUNI YA PUMA ENERGY YACHANGIA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI

    9:19 AM


    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (katikati) akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupokea hundi ya Sh. Milioni 40 kwa ajili ya maandalizi ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani, kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Puma Energy nchini, Philippe Corsaletti (kulia). Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani inatarajiwa kufanyika wiki ijayo, jijini Arusha. Kushoto ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu Kamishna, Mohamed Mpinga. Makabidhiano hayo yalifanyika katika ukumbi mdogo wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (katikati) akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Puma Energy nchini, Philippe Corsaletti (kulia) baada ya kupokea hundi yenye thamani ya Sh. Milioni 40 msaada uliotolewa kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani inayotarajiwa kufanyika wiki ijayo, jijini Arusha. Kushoto ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Naibu Kamishna, Mohamed Mpinga. Makabidhiano hayo yalifanyika katika Ukumbi mdogo wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (katikati) akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupokea hundi ya Sh. Milioni 40 kwa ajili ya maandalizi ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani, kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Puma Energy nchini, Philippe Corsaletti (kulia). Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani inatarajiwa kufanyika wiki ijayo, jijini Arusha. Kushoto ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu Kamishna, Mohamed Mpinga. Makabidhiano hayo yalifanyika katika ukumbi mdogo wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. 
    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (katikati) akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupokea hundi ya Sh. Milioni 40 kwa ajili ya maandalizi ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani, kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Puma Energy nchini, Philippe Corsaletti (kulia). Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani inatarajiwa kufanyika wiki ijayo, jijini Arusha. Kushoto ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu Kamishna, Mohamed Mpinga. Makabidhiano hayo yalifanyika katika ukumbi mdogo wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam

    Related Posts

    Post a Comment

    No comments

    Follow us

    • 200 Fans Like
    • 31,960 Followers Follow
    • 0 Fans Follow
    • 18 Subscribers Subscribe

    Popular Posts

    • KAMPUNI YA KUSAFIRISHA MIZIGO YA SERENGETI FREIGHT FORWARDERS LTD YAKABIDHI MSAADA WA VITU MBALIMBALI VILIVYOTOLEWA NA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA KUWASAIDIA WAKAZI WA MABWEPANDE
      KAMPUNI YA KUSAFIRISHA MIZIGO YA SERENGETI FREIGHT FORWARDERS LTD YAKABIDHI MSAADA WA VITU MBALIMBALI VILIVYOTOLEWA NA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA KUWASAIDIA WAKAZI WA MABWEPANDE
      Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam  Saidi Meck Sadiki (kulia) akipokea msaada wa vitu mbalimbali vilivyotolewa na watanzania wais...
    • YANGA HAIKAMATIKI, YALIPA KISASI KWA KAGERA
      Mshambuliaji wa Yanga Said Bahanuz, akijaribu kumfunga kipa wa Kagera Sugar Hannington wakati wa mechi ya Ligi Kuu ...
    • GENERALI JUMA MKAMBI AZIKWA KISUTU
      GENERALI JUMA MKAMBI AZIKWA KISUTU
      Wakazi wa jijini Dar es Salaam wakipokezana mwili wa marehemu Generali Juma Mkambi wakati wa mazishi yaliyofanyika Kisutu Dar es Salaam Rais...
    • YANGA YAICHAPA PRISONS YA MBEYA 2-1 UWANJA WA TAIFA.
      YANGA YAICHAPA PRISONS YA MBEYA 2-1 UWANJA WA TAIFA.
        Wachezaji wa timu ya Yanga , Gelson Santana- Jaja (kulia) akimpongeza  Simon Msuva baada ya kuipatia timu ya Yanga bao la pili na ushin...
    • Samsal mabingwa Soka la Ufukweni Jjijini Dar.
      Samsal mabingwa Soka la Ufukweni Jjijini Dar.
        Baadhi ya Wachezaji wa Samsal Mikocheji wakishangilia na Kikombe pamoja na hundi ya shilingi milioni moja mara baada ya kuibuka mabingw...
    • CHEKA VS KALAMA WAPIMA UZITO LEO
      CHEKA VS KALAMA WAPIMA UZITO LEO
      Bondia Fransic Cheka akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake utakaofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba na Kalama Nyilawila siku...
    • KAMPUNI YA SIDO YA TEMSO YAZINDULIWA RASMI.
      KAMPUNI YA SIDO YA TEMSO YAZINDULIWA RASMI.
      Mkurugenzi Mkuu wa SIDO,Mike Laizer akinadi moja ya kif cha kufyatulia matofali kilichotengenezwa na Kampuni ya TEMSO mara baada ya uzinduzi...
    • MAMBO YA VODA SASA KAMA KAWAIDA: NOW IN DEMOCRATIC REPUBLIC OF CONGO
      MAMBO YA VODA SASA KAMA KAWAIDA: NOW IN DEMOCRATIC REPUBLIC OF CONGO
      Now with KAMA KAWAIDA, Vodacom customers who are travelling to DRC can start to make calls at the local DRC rates and receive calls for FRE...
    • MABONDIA WAPIMA UZITO KUPIGANA JUMAMOSI SEPTEMBE 27 KESHO
      MABONDIA WAPIMA UZITO KUPIGANA JUMAMOSI SEPTEMBE 27 KESHO
       Bondia Nasibu Ramadhani Kushoto akitunishiana misuli na Mohamed Matumla baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao kesho ...
    • MIAKA 50 YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM.
      MIAKA 50 YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM.
      Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakati wa kuazimisha miaka 50 ya tangu kuanzishwa kwa chu...

    PAGEVIEWS

    Created By SoraTemplates | Distributed By Gooyaabi Templates