YANGA YACHAPA MTIBWA 3-1 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM.
Mshambuliaji wa timu ya Yanga,Jerison Tegete akifunga goli la pili kwa njia ya penati wakati wa mechi ya kirafiki dhidi ya Mtibwa iliyochechwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Yanga imeshinda 3-1.
Baadhi ya wachezaji wa timu ya Yanga wakishangilia kwa staili ya pekee mara baada ya kushinda bao la tatu dhidi ya Mtibwa
Umati wa watu uliofika kushuhudia mechi hiyo
Wakishangilia bao la tatu.
Wakishangilia
Haya ndio matokeo mpaka mpira unamalizika
Wachezaji wa timu ya Mtibwa wakimzonga refa mara baada ya kuamuru penati
Umati wa watu ukishuhudia mechi
Kikosi cha Yanga kilichoanza
Kikosi cha Mtibwa kilichoanza
Post a Comment