SIMBA Vs POLICE COMBINE WATOKA SARE YA 1-1.
| Wachezaji wa timu ya Simba wakisahngilia bao la kwanza dhidi ya Polisi Combine wakati wa mechi ya kirafiki ya kujipima iliyochezwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam |
Wachezaji wa Police Combine wakishangilia mara baada ya kufunga bao la kusawazisha
Washangilia kwa staili yao ya pekee
Bao la kusawazisha la Pilisi lilivyopigwa
Humudi akijaribu kufunga
Mtoto akiangalia mpira kwa hisia
Kikosi cha Simba kilichoanza
Kikosi cha Polisi Combine kilichoanza
Post a Comment