Makamu wa Rais Dk Bilal ahudhuria kuapishwa Rais Mpya wa Iran
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.
Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali ya
Jamhuri ya Kiislam ya IRAN alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Teheran kwa ajili ya kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Mpya wa
Nchi hiyo Bw. Hassan Rouhan Al-Quds anaetarajiwa kuapishwa kesho
baada ya kushinda kwenye uchaguzi Mkuu uliomalizika hivi karibuni.
Akiwasili
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.
Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mshauri Maalum wa Waziri wa Mambo ya nje
wa Serikali ya Jamhuri ya Kiislam ya IRAN bw. Mohammad Valulleh kwenye chumba
maalum cha mapumziko VIP katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Teheran alipowasili Nchini Irani kwa ajili ya kuhudhuria kuapishwa
kwa Rais Mpya wa Nchi hiyo Bw. Hassan Rouhani Al-Quds anaetarajiwa
kuapishwa kesho baaada ya kushinda kwenye Uchaguzi Mkuu uliomalizika hivi
karibuni. (Picha na OMR)
Post a Comment