ad

ad

WAJASILIAMALI KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI KUKABIDHIWA RUZUKU ZA SAFARI WEZESHWA LEO JIJINI MBEYA.

 Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo(wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habri  wa Mkoa wa Mbeya kuhusu programu ya Safari Lager Wezeshwa ambapo leo jumla ya wajasiliamali 10 watakabidhiwa ruzuku za programu hiyo leo Jijijini Mbeya. Kulia ni Meneja mauzo wa kanda,Raymond  na kushoto ni Mkurugenzi wa Bendi ya Minofu,na Mratibu wa programu ya Wezeshwa ,Peter Zacharia.
 Meneja mauzo wa Kanda ya Nyanda za juu Kusini,Raymond akizungumza
 Mratibu wa Progaramu ya Wezeshwa,Peter Zacharia akizungumza
 Mkurugenzi wa Bendi ya Minofu akizungumza
 Wanahabari wakiwajibika
 Wanahabari kazini
 Crew ya Program ya Safari Wezeshwa wakiwa Redio Bomba FM ya Mbeya
 Hapa wakiwa City Fm Redio ya jijini Mbeya
Hapa wakiwa Sweet Fm Redi ya jijini Mbeya

No comments