WAISLAMU WAADHIMISHA YA SIKU YA SALAFIA DAR
Sheik
Abubakari Zuberi, Naibu katibu Mkuu wa Tanzania Bara akifafanua jambo
kuusu mafunzo ya dini ya kiislamu wakati wa Maadhimisho ya Siku ya
Salafia iliyofanyika Bunju jijini Dar es Salaam. Kulia ni Sheikh Yusuf
Hussein.
Baadhi ya waumini wa Kiislamu wakiandamana wakati wa maadhimisho ya Siku ya Salafia.
Post a Comment