VIONGOZI MBALIMBALI WALIOTEMBELEA BANDA LA TTCL KATIKA MAONYESHO YA KIBIASHARA YA 37 YA KIMATAIFA JIJINI DAR
Raisi
wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete
akimsikiliza Afisa Biashara wa Mkongo wa Taifa Bw. Thomas Lemunge wakati
alipotembelea banda hilo. Baadhi ya wafanyakazi wa TTCL wakati wa Ufunguzi rasmi wa maonesho ya 37 .
Mfalme
Mswati III na Waziri Mkuu mhe. Mizengo Pinda wakimsikiliza kwa makini
Mkuu wa Idara ya Huduma na Bidhaa zitolewazo na TTCL Bw. Ernest Isaya
wakati walipotembelea katika banda hilo. Meya
wa Manispaa ya Ilala Mhe. Jerry Silaa akisaini kitabu cha wageni baada
ya kupata maelezo ya kina kuhusu Mkongo wa Taifa unavyosaidia
kurahisisha biashara kwa njia ya mtandao, elimu-mtandao,
matibabu-mtandao pamoja na kuunganisha n.k
wateja
wakipata maelezo kuhusu huduma ya ziada wanazoweza kupata kupitia simu
za mkononi za TTCL ikiwa ni pamoja na huduma ya ‘teleconference’ ambapo
mteja ana uwezo wa kuongea na watu zaidi ya watano kwa wakati mmoja (
kufanya mkutano kwa njia ya simu )n.k.

Banda la kampuni ya simu ya TTCL kwenye viwanja wa vya maonyesho ya biashara ya TANTRADE.
Post a Comment