SAMSUNG YAJA NA MBINU MPYA YA KUEPUKA BIDHAA FEKI YA PROGRAMU YA E-WARRANT.
Meneja mauzo
na Usambazaji wa Kampuni ya Samsung,Sylvester Manyara (wa pili kulia)
akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa kuchezesha droo ya
kila mwezi kwa wateja walionunua bidhaa za kampuni hiyo iliyochezeshwa Dar es
Salaam .Kutoka kushoto ni Meneja wa Tawi la Samsung Quality Center, Jafari
Adam,Mwakilishi wa Bahati na sibu ya Taifa,Mrisho Milao na Mkaguzi wa bidhaa za
Samsung,Sadic Abbas.
Meneja mauzo
na Usambazaji wa Kampuni ya Samsung,Sylvester Manyara (wa pili kulia) akimpigia
simu mshindi wa TV ya Samsung nchi 32 wakati wa kucheza droo kwa wateja wa kila
mwezi wa bidhaa za kampuni hiyo,ambapo
mkazi wa Dar es Saalaam, Goodluck Mumvuri alijishindia.Kutoka kulia ni
Kutoka kushoto ni Meneja wa Tawi la Samsung Quality Center, Jafari
Adam,Mwakilishi wa Bahati na sibu ya Taifa,Mrisho Milao na Mkaguzi wa bidhaa za
Samsung,Sadic Abbas.
Meneja mauzo
na Usambazaji wa Kampuni ya Samsung,Sylvester Manyara (katikati) na Mkaguzi wa bidhaa za Samsung,Sadic Abbas
wakionyesha simu mpya za Galaxy Star ambazo ziligawiwa kwa wanahabari kwa njia
ya kuchezesha droo ya bahati na sibu.Kushoto ni Mwakilishi wa Bahati na sibu ya
Taifa,Mrisho Milao.
Meneja mauzo
na Usambazaji wa Kampuni ya Samsung,Sylvester Manyara (kushoto) akimkabidhi simu,Mwandishi wa Gazeti la Habari
Leo,Theopister Nzanzugwanko mara baada ya kushinda kwenye droo ya wanahabari
kwa simu mpya ya Galaxy Star.Katikati ni Mkaguzi wa bidhaa za Samsung,Sadic
Abbas.
Meneja mauzo
na Usambazaji wa Kampuni ya Samsung,Sylvester Manyara (kushoto) akimkabidhi simu,Mwandishi wa Gazeti la
Majira,Charles Lucas mara baada ya kushinda kwenye droo ya wanahabari kwa simu
mpya ya Galaxy Star.Katikati ni Mkaguzi wa bidhaa za Samsung,Sadic Abbas.
Post a Comment