RAIS OBAMA APANDA MTI IKULU, JIJINI DAR ES SALAAM
Rais Obama akipanda mti aina ya mpingo katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa maelezo ya mti wa mpingo anaotaka kuupanda katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo.

Rais Jakaya Mrisho kikwete akimsindikiza mgeni wake baada ya kumpatia mapokezi ya kihistoria leo Ikulu,PICHA YA IKULU NA ISSA MICHUZI.
WAZIRI MKUU MHE. PINDA AFUATANA NA MFALME MUSWATI WA SWAZILAND KUFUNGUA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA LEO JIJINI DAR.
Waziri Mkuu , Mizengo Pinda
akimwongoza Mfalme Muswati wa Swaziland kutembelea abanda ya maonyesho
baada ya mfalme huyo kufungua maoinyesho ya kimataifa ya Biashara kwenye
uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam Julai 1, 2013.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mfalme Muswati wa Swazilanda (kulia)
na Waziri Mkuu , Mizengo Pinda wakitazama dawa za aina mbali mbali
wakati walipotembelea banda la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya
mfalme huyo kufungua maonyesho ya Biashara ya Kimataifa kwenye uwanja wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam Julai 1, 2013. (picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Post a Comment