RAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA UONGOZI WA BENKI YA TIB IKULU
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akipeana mikono na Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya Maendeleo ya TIB, Bw
Peter Noni, Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 13, 2013. Bw. Noni na ujumbe
wake walifika Ikulu kumwelezea Rais Kikwete mipango na mikakati kabambe ya
kuijenga upya benki hiyo iliyokuwa ikijulikana kama Tanzania Investment Bank
(Benki ya Rasilimali Tanzania) ikiwa ni pamoja na miundo mbinu na upanuzi wa
wigo wa biashara.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akipata maelezo toka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya Maendeleo ya TIB, Bw

Post a Comment