PROFESA LIPUMBA AONGOZA MAZISHI YA MLINZI WA MAKAO MAKUU YA CUF MUHARAMI ABDALLAH SHAABAN TANGANYIKA
.
Mwenyekiti
wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba akikabidhiwa daftari la michango wakati
alipowasili Tabata, jijini Dar es salam, nyumbani kwa Marehemu Muharami
Abdallah Shaaban Tanganyika aliyefariki juzi katika hospitali ya Amana.
Marehemu alikuwa ni mfankazi ya ulinzi katika makao makuu ya CUF,
Buguruni. Mwenye pama ni Naibu katibu Mkuu wa CUF Mhe. Julius Mtatiro
Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba akiandika kwenye daftari la michango. Mwenye pama ni Naibu katibu Mkuu wa CUF Mhe. Julius Mtatiro na kulia ni kaka wa marehemu Ismail
Sehemu ya waombolezaji
Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba akipata chakula na waombolezaji wengine
Mwenyekiti
wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba akiongea machache kabla ya safari ya
kuelekea makaburini kuanza. Alimsifia marehemu Tanganyika kama mmoja wa
wafanyakazi waaminifu na makini waliojituma sana. Pia alisema wamepoteza
askari hodari ambaye alikuwa nguzo muhimu ya ulinzi katika makao makuu
ya chama hicho cha ulinzi
Mwenyekiti
wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba akiongoza mazishi hayo yaliyofanyika
kwenye makaburi ya familia ya mama wa marehemu huko Segerea
Post a Comment