PILIKAPILIKA ZA USAFI DAR NA UJIO WA OBAMA
.
Wafanyakazi wa Manispaa ya Kinondoni, wakiwa katika pilikapilika za
kufanya usafi jana katika taa za kuongozea magari Ubungo, ikiwa ni
maandalizi ya ujio wa Rais wa Marekani, Barrack Obama anayetarajia
kuwasili leo nchini kwa ziara ya siku mbili, ambapo pia atatembelea
mitambo ya umeme ya Symbion iliyopo Ubungo, Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Manispaa ya Kinondoni, wakifanya usafi leo katika taa za kuongozea magari Ubungo, ikiwa ni maandalizi ya ujio wa Rais wa Marekani, Barrack Obama anayetarajia kuwasili leo nchini kwa ziara ya siku mbili, ambapo pia atatembelea mitambo ya umeme ya Symbion iliyopo Ubungo, Dar es Salaam.PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA

Post a Comment