Miss
Tanzania 2012, Brigitte Alfred (kulia) akipokea hundi yenye thamani ya
shilingi Milioni 4.1 kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na
Huduma kwa Jamii wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Susan Omari jijini
Dar es Salaam jana. Fedha hizo ni kwaajili ya ujenzi wa Bweni la
wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi (Albino) linalojengwa katika shule ya
Msingi Buhangija mkoani Shinyanga. (Picha na Kamati ya Miss Tanzania) |
Post a Comment