MAMBO YA NJIANI WAKATI NIKIREJEA JIJINI DAR ES SALAAM NIKITOKEA MBEYA
Gari likiwa limepinduka ambapo haikufahamika chanzo cha ajari hii
Hapa ni sehemu maarufu ambapo wasafiri hujipatia chakula
Hapa nikirejea jijini Dar es Salaaam
Gari lingine likiwa limepinduka
Hii balaa njiani
Mbuga ya Hifadhi ya Wanyama ya Mikumi ikiwa imechomwa Moto bila kujali umuhimu wa Waanyama katika Mbuga hiyo
Tazama huu uharibifu
Wajasiliamali wakiwa wametundika vitu njiani
Post a Comment